Pages

August 7, 2008

MIAKA 10 YA SHAMBULIZI LA KIGHAIDI.

WAKATI LEO NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI ZAADHIMISHA KUMI YA SHAMBULIO LA KIGHAIDI KATIKA MIJI YA DAR ES SALAAM NA NAIROBI, TAHADHARI IMETOLEWA KUWA MMOJA WA WATUHUMIWA MUHIMU WA MASHAMBULIZI HAYO FAIZUL MZALIWA WA VISIWA VYA COMORO ALIFANIKIWA KUWATOROKA MAKACHERO MJINI MOMBASA NA YASEMEKANA AMEKIMBILIA AMA HAPA BONGO AU UG.
Posted by Picasa

1 comment:

  1. Anonymous6:29 PM GMT+3

    Whoever owns this blog, I would like to say that he has a great idea of choosing a topic.

    ReplyDelete