August 22, 2008
EPA bado hakijaeleweka!!!!
Baadhi ya wananchi hawajaridhika na hatua zilizochukuliwa na serikali juu wizi wa fedha za akaunti ya malipo ya nje maalufu kama EPA ya watuhumiwa kupewa hadi oktoba 31 kuwa wamerejesha vinginevyo watapelekwa mahakamani.
Mkurugenzi wa Mtandao wa jinsia Ussu Malya pamoja na baadhi ya wanachi wanahoji kama ni sawa kwa watuhumiwa kupelekwa mahakamani iwapo watashindwa kurudisha pesa hizo na kuoji je hao walio kwisha rudisha ndio basi?
"Yaani mtu unaiba mabilioni ya umma kwa hati za kufoji kisha unashitukiwa na unaambiwa urudishe basi? hii haiingii akilini hata kidogo tunataka hatua zaidi" Malya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Umati wa watu unaozidi kufurika huko Loliondo kwa dhumuni moja tu, kupata dawa ambayo inaaminika inatibu magonjwa sugu ama yaliyoshin...
-
WINNERS Boulevard.: Biashara ya Masoko ya Mtandao : Fikiria kama ungekuwa walipwa kwa kila ushauri wa kutumia huduma ama bidhaa ya kampuni a...
-
The Edmark Double Bonus Marketing Plan consists of both the Point Sharing System and the Block System. Thus, giving maximum benefits ...
-
Porn image ban sparks concern A new law, slated to come into force in January, will make the possession of images deemed to be of an extre...
-
Alert over Kenya's first case of H1N1 flu Minister for Public Health and Sanitation Beth Mugo addresses the media in Nairobi. Kenya...
-
Bernard Madoff gets maximum 150 years in prison NEW YORK – Convicted swindler Bernard Madoff was sentenced to 150 years in prison Monda...
-
Mshindi wa Kiti cha Urais Zambia, Michael Sata. Jubilation and dance characterised the streets of Lusaka , the country’s capital...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
August 13-16th, 2009 in Nairobi, Kenya. Kelele is an annual African bloggers’ conference held in a different African city each year and ru...
No comments:
Post a Comment