Pages

August 13, 2008

BOMOA X2 KURASINI

Posted by Picasa mmoja wa wakazi wa eneo la kurasini zamkago bw maiko karume akilalama mbele ya waandishi baada ya nyumba yake kubomolewa,
anadai amepunjwa malipo kwa kupewa pesa milion 8.5) isiyolingana na thamani halisi ya nyumba zake (zaidi ya million 45) na kuwa walifungua kesi mahakamani kupinga uvunjaji hadi hapo malipo halisi yamefanyika,

No comments:

Post a Comment