dogo Maiko Jackson, hapanshaka jana alilala usingizi mnono ndani ya waliokuwa wakiita nyumba yao na ambayo ndo nyumba pekee aliokuwa akiijua toka kuzaliwa kwake, lakini kwa leo ni kitendawili pa ni wapi ataweka ubavu wake baada ya bomoa bomoa ya kupisha upanuzi wa bandari salama kuikumba nyumba yao.
No comments:
Post a Comment