Pages

July 1, 2008

Sakata la jezi, Eto'o, Kanavalo na TFF

Wadau naomba tuchangie juu la jambo hili, kwanza nna maswali machache tu ambayo yalikuwa yakintatiza toka kuanza kwa sakata hili kabla ya Rais Tenga kulitolea ufafanuzi jana ambao ndo umezidi kuongeza maswali, moja je kulikuwa na haja gani kwa TFF au msemaji wake (maana sijui ka alitumwa na mabosi wake au la) kuliweka wazi hili kwa vyombo vya habari ambavyo kwa dunia ya utandawazi ni sawa kulianika dunia nzima?

2. Je hao wanaoitwa wadhamini ambao twasikia kila siku wanatoa mapesa kibao je wanatoa jezi ngapi kwa Stars ata timu iwe na jezi za kauka nikuvae? na je wangeshindwa kutoa iyo 20,000 ata msemaji huyo kutisha kukata posho ya Haroub aka Kanavalo?

3. Kulinga na maelezo ya Tenga napata maswali ya nani alimtuma Msemaji yule kutoa maelezo yale kwa vyomba vya habari je ni TFF? au yamemtoka tu yeye mweneywe kama ni TFF kweli viongozi hawakuliona hilo kabla au kufikili matokeo yake ata Rais aje kutoa tene ufafanuzi wa nini umuhimu wa jezi za taifa?

Nathani kuna tatizo pahala na TFF inapaswa kujipanga sawa kabla ya kuongea na vyombo vya habari au kumpanga sawa msemaji wake kwa si mara ya kwanza msemaji huyo kuchanganya habari.

Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment