May 13, 2008
AISEEE MATHAWE!!!! NI YUPI HASA?
MCHAGGA NI YUPI HASA?
There is no Chagga tribe but just different groups of people living on the southern slopes of Mount of Kilimanjaro with the following characteristics:
WAMACHAME (Business entrepreneurs) Huwezi kujua nani mwanamke na ni nani mwanaume. Kila kitu ni pesa. Yaani hata kama ni mkeo wa ndoa inakuwa hivi "kama hutoi pesa ya mbege ndoa yangu sikupi babangu" Basi kule Machame chakula cha ndoa au nimesemaje? Kufanya mapenzi ni kwa kipimo. Ukiwa katikati mama anakwambia STOOOOOOP! Hapo shilingi Elfu 20 zako ndio zimekwisha; Ukitaka ongezandio uendelee. Yahye, unasikia nasema MKE WA NDOA! Wamachame hao! Uchumba tu, lazima upeleke Kapati la mbeho!
WAKIBOSHO (Specialized bandits) Mama akiwa anapiga soga na mwenziwe utawasikia hivi"Yaani Dadangu, we acha tu yule Alex wangu siku hisi amepefuka kweli; Ana akili we acha tu! Haibi tena mfukoni siku hisi, ameunda kundi lake la ujambasi, Krisimasi hii lasima nitaletewa fitenge file fya Kongo. Binti naye, AKIOLEWA NA KYASAKA, baba na mama wanamwambia " Hivi wewe huyu mwanaume kwani ni ndugu yako ? Leta hizo pesa sake tujengee huku kwetu Manka!!
WAURU (The Elites)Very boring people, wakikaa ni kuongea kuhusu shule tuuuuuuuuu, masomo, digrii. Yaani yukanoti bilivu! Babu wa miaka 70 bado madaftari yake ya primary ameweka sandukuni!! Atawaonyesha wajukuu zake wote: "Ona hand writing yangu ilivyokuwa nzuri wakati nafundishwa na Father Wilson Payatt. Wanakumbuka majina ya waalimu wao hasa wazungu tangu chekechea.Uzuri wao, wanamwogopa sana Mungu. Kengele ya KANISANI ikilia saa sita mchana utaona wazee wote kilabuni wanaamka na kusali sala ya mchana ndio wanaendelea kunywa mbege.Wanapenda maparachichi hao! We acha tu!!
WA OLD MOSHI (The Mechanics)!Actually Mama Mkapa ni beauty Queen kule kwao. Yaani mimi sisemi we nenda kachague mwenyewe.Taabu, Wanaume ni wabishi! Kama mkia wa mbuzi!Wanakunywa kisusio hata cha Nguruwe!! Na Gongonyingiiiiiiiiiiiiiiiiii (Wenyewe waita Crysta-pen!)
WAMARANGU (The handsome liars)!Wanaume wote ni waongo. Actually kuna somola "jinsi ya kudanganya" shule zote za primary kule Marangu. Both wanaume na Wanawake maisha ni raha tupu.Kwa Mmarangu halisi, kwanza ananunua gari, anachapamaisha, nae kulala kwenye gari wakati kodi ya nyumbainamshinda ni jambo la kawaida.
WAROMBO: (The salesmen)!Kazi mtindo mmoja! Hawana tofauti ni kuruti wa Jeshi!Wanawake tunawaita "KUBOTA" aina ya matrekta waliyosambazwa Kilimanjaro na Wajapani miaka ya 1970. Watafutaji wa pesa!!!! We acha tu. Wahindi hawaoni ndani!Lakini ukimchezea anakuua na kukimbilia Kenya kupitia Tarakea.Ushauri wa bure! Rafiki yangu uamue mwenyewe lakini kwa ushaurimwepesi mwepesi nenda Uru (wasomi) au Rombo (wachapakazi). Chaguo ni lako.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Umati wa watu unaozidi kufurika huko Loliondo kwa dhumuni moja tu, kupata dawa ambayo inaaminika inatibu magonjwa sugu ama yaliyoshin...
-
The Edmark Double Bonus Marketing Plan consists of both the Point Sharing System and the Block System. Thus, giving maximum benefits ...
-
WINNERS Boulevard.: Biashara ya Masoko ya Mtandao : Fikiria kama ungekuwa walipwa kwa kila ushauri wa kutumia huduma ama bidhaa ya kampuni a...
-
Porn image ban sparks concern A new law, slated to come into force in January, will make the possession of images deemed to be of an extre...
-
Alert over Kenya's first case of H1N1 flu Minister for Public Health and Sanitation Beth Mugo addresses the media in Nairobi. Kenya...
-
Bernard Madoff gets maximum 150 years in prison NEW YORK – Convicted swindler Bernard Madoff was sentenced to 150 years in prison Monda...
-
Mshindi wa Kiti cha Urais Zambia, Michael Sata. Jubilation and dance characterised the streets of Lusaka , the country’s capital...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
From Tanzania all the way to South Africa, Norway, Netherlands, Oman, USA and the world people are following Bongo Pix, this is the joy of b...
No comments:
Post a Comment