Pages

April 22, 2008

NATAMANI KUJUA MAWAZO YAO!!!

3 comments:

  1. Anonymous4:06 PM GMT+3

    ah akak bernard nimetokea kutazama hizi picha zako na kusemaa, waheshimiwea hawa wanafikiriaaa, sasa hali iemfikia hapa, dito kaondoka, wapinzani nao kila kukicha wanakuja na mapya, jk msimamo wake ni nini haswaa...? ndivyo wanavyofikiria vigogo hawaa.. nimekubali mtundiko wako huu wa pichaa mkubwaaa...
    salaam sanaa]
    Haki Ngowi

    ReplyDelete
  2. Anonymous5:17 PM GMT+3

    Daah Edo siku izi anasoma sms naye?
    kweli U-PM ukikutoka ni balaa ila jamaaa ana faranga atakuwa anawaza pa kutimkia tu huyu ka balaahili.

    ReplyDelete
  3. ah hapo edo anazuga kusoma sms maana anaona aibu kwa jinsi alivyokuwa fisadi anapenda pesa kuliko benki mshikaji huyu.

    ReplyDelete