Pages

April 23, 2008

JK, JENS na Uzazi Salama

uzinduzi wa kampeni ya mkakati wa kupunguza vifo vya akina mama na watoto wa chini ya umri wa miaka mitano kuanzia mwaka 2008-2015.
( National Road Map Strategic Plan to Accelerate Reduction of Maternal, Newborn and Child Deaths in Tanzania 2008-2015 ) mkakati huo unaoendwshwa na Wizara ya afya na ustawi wa jamii ulizinduliwa jana jijini dar na rais jakaya kikwete kwa kushirikiana na waziri mkuu wa norway Jens Stoltenberg jijini ambae alikuwa katika ziara ya siku mbili nchini.

No comments:

Post a Comment