Matata na warembo wa bongo.
Miss Tourism Queen International Tanzania 2008, Jamillah Munisi (katikati), akipozi kwa picha na Miss Universe Tanzania 2007, Flaviana Matata (kushoto), Miss Earth Tanzania 2007, Angel Kileo muda mfupi kabla ya kuondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam kuelekea nchini China anakotarajia kushiriki katika mashindano ya Miss Tourism Queen International mjini Henan April 10 mwaka huu.
No comments:
Post a Comment