Pages

March 19, 2008

HII NDO HALI HALISI

Wanafunzi wa darasa la nne shule ya Msingi Amani iliyopo Kigogo ndani ya jiji la Kandoro wakiwa ktk somo la sayansi na Mwalimu Makala. Shule hii inawanafunzi 2989, vyumba vya madarasa 17 na madawati 287, wastani kila darasa linatumiwa na wanafunzi wasiopungua 150, Ni wapi elimu yetu hii inawapeleka wanetu? je hapa panakuelewe kinachofundishwa kweli?

No comments:

Post a Comment