Pages

February 12, 2008

Rais Jakaya Kikwete akitangaza baraza jipya la Mawaziri, ambapo wengi wameachwa na pia kuongeza sura mpya kadhaa, HILI NDO BARAZA LENYEWE: ........................................ walioachwa ni pamoja na Zakia Meghji, Joseph Mungai, Kingunge Ngombale Mwilu, Dan Nsanzugwanko, Rita Mlaki, NK WAPYA NI Cptn George Mkuchika, Lucy Nkya, Balozi Kagasheki, Adam Malima, na Ezekiel Maige. samahani kama kutakuwa na makosa hapa na pale.

No comments:

Post a Comment