Pages

February 12, 2008

BARAZA JIPYA KUAPISHWA KESHO SAA 7:30

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR ES SALAAM. Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mawaziri na Naibu Mawaziri waliotangazwa leo Jumanne (12/02/2008) wataapishwa kesho saa 7.30 mchana katika viwanja vya Ikulu Ndogo ya Chamwino, Dodoma. Wageni wote waalikwa wanatakiwa kuwa wamekaa kwenye viti vyao saa 6.30 mchana. Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Chamwino, Dodoma. 12/02/2008

No comments:

Post a Comment