Pages

February 12, 2008

Ikulu

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS UNITED REPUBLIC OF TANZANIA Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425 PRESIDENT’S OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR ES SALAAM. Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais Jakaya Mrisho Kikwete anatarajia kutangaza Baraza la Mawaziri leo (12/02/2008) saa 9.00 alasiri katika ukumbi wa TAMISEMI, Dodoma, badala ya saa 4.00 asubuhi kama ilivyotangazwa awali. Wahariri/Waandishi/Wapiga picha wawe wamewasili ukumbini saa 8.00 Mchana na wale wenye waandishi wao Dodoma wawaeleze vema ili wazingatie muda. Ahsante na karibuni. Kurugenzi ya Mawasiliano, Ikulu, Chamwino DODOMA. 12/02/2008

No comments:

Post a Comment