Rais anatangaza baraza muda huu
high lights
1. Muundo mpya, baraza lapunguzwa.
2. Nafasi zilizoachwa wazi kujazwa
1. Wizara ya Kingunge ya siasa na ustawi yaondolewa chini ya rais kwenda waziri mkuu.
2. Fedha na Mipango na uwezeshaji kuwa moja
3. Mambo ya ndani na usalama wa raia kuwa moja
4. Mambo yote ya elimu kuwa na wizara moja
No comments:
Post a Comment