Wakati Mgombea Urais wa Marekani mwenye asili ya Kenya Baraki Obama atakuwa na furaha kwa kuwashinda wagombea wenzake katika kinyanganyilo hicha ktk jimbo la Iowa ambalo uchukuliwa kuwa ni muhimu sana, nduguze huko kenya bado mambo si shwari,
Je kijana wa kiafrika ataukwaaa upresidaa wa Taifa Kubwa hilo?
si ajabu kwani miujiza bado yatokea ati...
No comments:
Post a Comment