Hivi wabongo wenzangu wangapi tuna vyeti vya kuzaliwa?
si tulio home hata nyie mlo ng'ambo wangapi mnavyo?
LEO hii huku Bagamoyo RITA wamezindua campaign ya kusajjili watoto wote wanaozaliwa ili kila mtu awe nacho kwani haki ya kila mtoto kuwa na cheti.
Wapowasemao kupata cheti cha kifo ni rahisi zaidi kuliko cha kuzaliwa mhh?
1 comment:
Mr Bernard,asante kwa comment uliyoacha kwenye blog yangu.Asante pia kwa kuniweka kwenye orodha ya links zako,nami pia nimefanya hivyo.Huwa napita hapa mara kwa mara,lakini sasa nikipita ntakuwa naweka comments.Nakutakia shughuli njema.
Post a Comment