
Wanafunzi wa kidato cha sita ECA bweni ktk shule ya azania wameitisha mgomo kupinga mazingira magumu na hatarishi ya kusoma na kulala,
picha ya juu hilo ni moja ya darasa Azania na chini baadhi ya viongozi toka wizarani na wilayani wakichat nao hapo shuleni, bahati muzuri hata DC wa Ilala Patrick Tsere alipiga kitabu hapo na kumbonji mabweni hayo miaka hiyooo lakini kwa sasa hali inatisha sana, hasa ukosefu wa maji yaani ni balaa
No comments:
Post a Comment