
Baunsaz wakiangalia usalama mlangoni wakati Big Brother Africa Mzaramo Richard akiongea na waandishi wa habari leo.
Kuwa maarufu nako kuna mambo yake sasa hawa jamaa watakuwa naye hadi lini? na wanakuwa naye 24hrs au namna gani?
kijana kaondoka na kauhuru kake karejea mfungwa wa hiyari mmhhh haya bwana.
2 comments:
UJINGA KUWEKA LEBO KWENYE PICHA
ZAKO NDO UNAJIONA MJANJAAA WENGINE TUPO MBIONI KUFUNGUA ZA KWETU TUNAPITA KILA MAHALA KUKUSANYA PICHA NA JAAMAA HAWANA NOMA IWEJE WEWE. ACHA UJINGA
Nashukuru sana umeniita mjinga na si mpumbavu kama ulivyoweye,
Mungu akubaliki kwa upumbavu wako na iko siku pengine utakutoka tu weye anony...uliyetoa comments hapo juu.
Post a Comment