TANZIA
Brigedia Jenerali Mohamed Rajabu aliyekuwa injinia wa ujenzi wa daraja la mto kagera wakati wa vita na Nduli idd amini amefariki dunia trh 17.09.07 nyumbani kwake Dar, Upanga na anatarajiwa kuzikwa leo kwao Moshi.
Mungu aiweke roho ya marehemu maala pema popeni.
No comments:
Post a Comment