Pages

September 20, 2007

Mnadhimu wa Jeshi Mstaafu Luteni Gau akitia sahihi kitabu cha tanzia, Wadau naomba mnikumbushe kwa wale wenye kumbukumbu sahihi, marehemu ambaye alikuwa msimamizi mkuu wa ujenzi upya wa daraja la mto kagera mara baada ya kuvunjwa na majeshi ya nduli idd amini dada yasemekana ujenzi wake ni historia kwa kuchukua muda mchache na atimaye kuleta ushindi upande wetu. Swali Je ilichukua muda gani ujenzi huu hata kupitisha vifaa vya kivita?

No comments:

Post a Comment