Ephraimu Mafuru wa Vodacom akitangaza taji jipya la urembo kwa mwaka huu Miss Vodacom Populality ambapo atakayeshinda atajinyakulia 10m cash. Kazi kwenu vimwana na wapiga kula kwani hii ni nafasi pia kwa watakaoshiriki kupiga kula kupitia sms watapata pia donge kama hilo.
No comments:
Post a Comment