Wakati bongo waheshimiwa wanaongeza mageti za kututenga nao wenzetu wanafungua si kwa wadachi tu ila mgeni yeyote ruksa kuja kujionea jinsi waheshimiwa wao wanavyo endesha shughuri zao, alimradi kuna nafasi ktk galale za wageni na pia umekaguliwa na mitambo yoa ka ile kwetu. mmmh
No comments:
Post a Comment