Pages

June 14, 2007

Niko na mshikaji toka kwa mwanawasa tukiwa kileleni mwa aka kajengo ka vioo hapa bunge la udachi yaani Berlin yote iko chini ya miguu yetu.,

2 comments:

  1. Samahani mheshimiwa kidogo umetuchanginyi upo wapi hasa. Nielewavyo mimi Udachi(Dutch) ni Uholanzi, wakati ujerumani ni Deutschland,

    ReplyDelete
  2. Anonymous hapo juu ukumbukuki historia? Wajerumani twawaiita wadachi, ja umesahau waliotutawala? walikuwa wadachi na waingereza, bongo kwetu Deutschland ndo udachiland, majina haya mababu ndo wanayakumbuka sana ka kuna kijana wa siku nyingi karibu nawe muulize atakupasha.

    ReplyDelete