Anonymous hapo juu ukumbukuki historia? Wajerumani twawaiita wadachi, ja umesahau waliotutawala? walikuwa wadachi na waingereza, bongo kwetu Deutschland ndo udachiland, majina haya mababu ndo wanayakumbuka sana ka kuna kijana wa siku nyingi karibu nawe muulize atakupasha.
Samahani mheshimiwa kidogo umetuchanginyi upo wapi hasa. Nielewavyo mimi Udachi(Dutch) ni Uholanzi, wakati ujerumani ni Deutschland,
ReplyDeleteAnonymous hapo juu ukumbukuki historia? Wajerumani twawaiita wadachi, ja umesahau waliotutawala? walikuwa wadachi na waingereza, bongo kwetu Deutschland ndo udachiland, majina haya mababu ndo wanayakumbuka sana ka kuna kijana wa siku nyingi karibu nawe muulize atakupasha.
ReplyDelete