Huyu ndo bwa, shofeli alotutembeza mitaa ya spreewald kwa muda wa masaa matatu, ambayo ni safari fupi, kwa wenye muda na mfuko ulonona "kiduchu" wanazunguka masaa mengi zaidi na kuona mitaa hii ya mito mingi pia, ila nasikia uwezi maliza mitaa yote kwa siku moja, pia kuendesha mitumbwi hii japo haitumii ingini yoyete yaani ni ufito tu ni lazima uwe na leseni yaani unaenda shule sio ka kule kwetu Ukala,
No comments:
Post a Comment