Pages

June 12, 2007

Bado ningali Udachi kwa kozi fupi ya mafunzo, na leo tulipata nafasi ya kutembelea maeneo kadhaa, ikiwamo Idara ya Habari ya udachi au MAELEZO ya udachi, Ofisi za Jumuiya ya Ulaya EU Commision pamoja na Bundestag au Bunge la Udachi. Tumejifunza mengi sana ya namna asazi hizi zinavyofanya kazi. hapa Mpenda wa Maelezo ya udachi akitupatia maelezo namna idara yake itendavyo kazi hasa kitengo cha picha.

No comments:

Post a Comment