Watu wa Bwiiiiii hawakosekani bwana, huyu jamaa kapiga kinywaji hadi chakali yaani treni zapita kila baada ya dkk kumi lakini jamaa hata dkk mbili nying ile kukaa usingizi na mweleka juu. wengi ya wanafunzi wanaweza ifahamu stesheni hii kwani ni karibu na hostels za wanaotoka nje ya German na pia kuna huduma ya simu kwa bei poa kulinganisha na bei za sehemu nyingine za Jiji hili kubwa duniani.
No comments:
Post a Comment