Pages

May 30, 2007

Hapa ni mmoja ya mtaa kijijini Hoppergartenn, huku kwa wenzetu hakuna udokozi wala nini ndo maana mjumba yao hayana magriri wala amkuta ka gerezani na magari yao ya kifahari yana lala nje au mtaani tu na hakuna polisi wala sekyurite gadi wa kulinda ni amani tupu. Je kule mbezi beach, masaki na mikocheni mwaweza acha vi-BMW au vi-Benzi nje namna hii?

No comments:

Post a Comment