Mbunge wa Musoma (V)N Mkono akikambidhi Waziri wa Elimu magari 2 na computer 10 kwa shule za secondari za kisasa zilizojengwa jimboni kwake, pia anataka walimu wenye digrii 20 wakafundishe huko. Je tunao walimu wangapi kwa sasa wenye degree na ambao wako tayari kwenda kijijini?
No comments:
Post a Comment