Pages

May 10, 2007

Jana ndio ilikuwa mwisho kwa wanafunzi wa chuo kikuu waliotimuliwa kulipia asilimia 40 ili waweze kurejeshwa tena kuendelea na masomo, leo ndio barua zao zitafunguliwa. je ni wangapi wameweza kutimiza masharti? tusubiri muda utatueleza.

No comments:

Post a Comment