Pages

April 14, 2007

Madawa ya kulevya au maarufu "Unga" bado ni tatizo sana, haya ni baadhi ya yaliyokamatwa karibuni, yakiwemo ya mwanamama Mfilipino aliyeamua kuyaingiza sehemu za siri yenye thamani ya Mil 13 an alikuwa ayapeleke Zenji mmmmh kumbe hizi sehemu zaficha vingi jamani we acha tu.

No comments:

Post a Comment