Pages

April 11, 2007

kigogo sambusa "saga" kwa mara nyingine tena kuna mvutano kati ya machingas amboa walitolewa Mitaa ya kati ya jiji na kuamishiwa hapa sasa watakiwa tena kuhama kwani eneo lamilikiwa na mfanyabiashara mmoja. hata hivyo baadhi ya wafanyabiashara hao wamekamata maeneo tu na hakuna lolote linalofanyika.

No comments:

Post a Comment