Serikali ya Japan imetoa msaada wenye thamani ya Dola za Marekani 142, 251 kwa jimbo la Monduli kwaajili ya huduma ya afya jimbobi humo na ujenzi wa wodi ya wazazi na vifaa tiba.Hafla ya kukabidhi msaada huo ilifanyika katika ubalozi wa Japan ikiongozwa na Kaimu Balozi wa Japani Bw Kazuyomi Matsunaga, na kuudhuliwa wa watu mbali mbali akiwemo Mbunge wa Jimbo hilo Edward Lowasa, Mbunge wa viti maalumu Nameloki Sokoine.
No comments:
Post a Comment