Pages

February 2, 2014

Toka DUMILA , HUJAIONA HII, INASIKITISHA SANA,

Video ilipigwa wakati wa mafuliko yaliyotokea Huko Morogoro hivi karibuni, yawezekana hujaiona hii, inasikitisha, je dereva alivyopoteza maisha, cjui ni haraka ama kujiamini sana.


Kwa hisani ya Mdau Annagrace Ishengoma

No comments:

Post a Comment