Pages

September 25, 2012

Tuna kila sababu kumshukuru Mungu kwa kutufikisha hapa tulipo, miaka mitano si mingi sana lakini kwa taasisi takatifu ni miaka mingi sana, kwani kwa Mungu siku moja uwa sawa na Miaka elfu na miaka elfu sawa na siku moja, Wadau woote mliopo Dar au mtakao kuwa Dar tarehe 29.09.12 siku ya Jumamosi ambapo tutakuwa tunaadhimisha rasmi miaka mitano, karibuni sana, naomba tutumie ujumbe kwa namba zilizopo hapo chini kwenye mwaliko ili tuweze kuandaa kukupokea.

tunajua wasomaji wa Rwebangira Blog (zamani Bongo Pix Blog) ni wengi sana na si wote nawafahamu, lakini mimi na mke wangu tugependa kukufahamu wewe msomaji mwaminifu wa blog hii, tutumie Jina lako kwa namba yoyote hapo chini kabla ya Ijumaa trh 28.09 saa nane mchana. Karibuni sana na wote tunawapenda.  


Five years ago, our love was rooted in the ground, and has blossomed into a beautiful and vibrant willow, embracing life and each other.

Because you have been a blessing and played a special part in our lives, we invite you to celebrate with us 5 years of sharing, caring and loving each other,

Please join us for a small party at JB Delmonte Hotel

Venue: JB Delmonte Hotel, 2nd Floor,
Date: 29/09/2012
Time: 11am

Please accept this as an official INVITATION to you, Mr and Mrs.

YOUR PRESENCE WILL BE YOUR GIFT TO US!*


Mr and Mrs Bernard & Violet Rwebangira.

RSVP: 0784475576/ 0716927070/ 0764927070

GOD BLESS YOU ALL!