Pages

November 11, 2011

Mbeya kwachafuka, Machinga dhidi ya Polisi







Hali huko Mbeya ni tete, Polisi wanapambana na wamachinga, watu kadhaa wameripotiwa kujerhiwa, ni mabomu mji mzima, yasemekana risasi za moto zimetumika pia. 




Fuatilia mkasa huu HAPA
Picha na mpigapicha maalumu wa JF

No comments:

Post a Comment