Pages

October 29, 2011

Twiga Bancorp katika maonesho ya Miaka 50 ya wizara ya Fedha.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Twiga, Hussein Mbululo (kulia) akitoa maelezo ya huduma mbalimbali zitolewazo na Benki hiyo wakati wa Maonesho ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha na kushirikisha taasisi zake zote. Maonesho hayo yanafanyika katika viwanja vya Manazi Mmoja jijini Dar es Salaam

Ofisa Masoko wa Twiga Bank, Adelbert Archard  akitoa akiwagawia wanafunzi vipeperushi na kuwapa maelezo juu ya Akaunti maalum ya Akiba kwa watoto , walipotembelea banda la Benki hiyo wakati wa Maonesho ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha na kushirikisha taasisi zake zote. Maonesho hayo yanafanyika katika viwanja vya Manazi Mmoja jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment