Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Izrael akipunga mkono
wakati akiwa katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam
Oktoba 19,2011 alipokuwa akiondoka nchini kwenda London Uingereza kushiriki
fainali za Miss World zitakazo fanyika mwezi ujao.
No comments:
Post a Comment