Pages

October 18, 2011

Pic of the day!


Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimfariji mtoto wa marehemu Han Bing wakati wa ibada ya kumuaga iliyofanyika Dar es Salaam. Oktoba 11, majambazi yalimuua Han kwa risasi na kumpora sh milioni 30 alizokuwanazo kwenye gari.(Picha na Mwanakombo Jumaa)

No comments:

Post a Comment