Nape Nnauye, Six Mapunda watembelea Ubalozi wa Tanzania Washington Dc
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu Msaidizi Six Mapunda wakiwa na Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mwanaidi Maajar, alipofika katika ofisi za Ubalozi wa Tanzania mjini Washington, DC. Kulia ni Ofisa Ubalozi huo Suleiman Saleh.
No comments:
Post a Comment