Rais Jakaya Mrisho Kikwete (watatu kulia mstari wa pili)
akiwa na baadhi ya wakuu wa nchi wanachama wa Jumuia ya madola wakimsikiliza
mtu mwenye asili ya watu wa Australia ( anaeonekana kwenye kingamuzi) akielezea
asili ya nchi hiyo leo mjini Perth nchini Australia wakati wa ufunguzi wa
mkutano wa wakuu wa nchi wanachama wa jumuia ya madola. -28 oktober 2011.
(Picha na Mwanakombo Jumaa - Maelezo)
No comments:
Post a Comment