Pages

October 6, 2011

JK na Pinda wakutana na Wakuu wa Vodacom

Rais Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakiongea na watendaji wakuu wa kampuni ya simu ya Vodacom.



Rais Jakaya Kikwete akiwa na wakuu wa kampuni ya simu ya Vodacom Dietref Mare (Tanzania), John Dannelind (Afrika Kusini) na Vitorio Colao (Dunia) ikulu jijini leo hii



Rais Jakaya Kikwete akiwa na Meneja Mfuko wa Vodacom Mwamvua Mlangwa na Ofisa masoko mkuu na mahusiano Mwamvita Makamba
Picha na Michuzi Blog. 

1 comment:

  1. Anonymous5:25 AM GMT+3

    brinkka2011 says: Simply wish to say your article is as amazing. The clearness in your post is just nice and i could assume youre an expert on this subject. Well with your permission let me to grab your RSS feed to keep updated with forthcoming post. Thanks a million and please keep up the rewarding work.

    ReplyDelete