Pages

October 11, 2011

Ipe maneno, bashiri ni wapi na lini picha hii ilipigwa


Zawadi nono itatolewa kwa mtu atayeweza kutoa mana sahihi ya picha hii, wapi ilipigwa na mwaka gani ilipigwa.

Yuko mfadhili mmoja amejitoloea kumzawadia yoyote atakayebashiri kwa usahihi na zaidi kutoa maana halisi, "picha ina ongea maneno elfu moja" huo ni msemo wa kale, je hii yaongea maneno mangapi?

tuma jawabu lako kwa brwebangira@gmail.com au post kama comment.   

No comments:

Post a Comment