Huu ni ukatili ni unyama, si ubinadamu hata kidogo, tuukemee!
Mbunge wa Viti Maalumu, Al-Shaymaa Kwegyir akiangua kilio baada ya kumuona kijana Robert Tangawizi (14) ambaye ni mlemavu wa ngozi (albino) alivyojeruhiwa mkono wa kushoto na kisha kunyofolewa vidole vitatu vya mkono wa kushoto, wakati alipomtembelea hospitalini Geita mkoani Mwanza. (Picha na David Azaria).
No comments:
Post a Comment