Watuhumiwa wa Mihadarati ya Bilion 4 wafikishwa kwa pirato
Raia wa Iran,
Ali Mirzaei Pirbaksh (kushoto) na Watanzania wanne, Abdul Mtumwa (wa pili
kushoto) akifuatiwa na Aziz Juma, Said Mashaka na Hamidu Kitwana wakiwa katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar
es Salaam kusomewa mashitaka ya kukutwa na Kilo 97 za
dawa za kulevya aina ya Heroine eneo la Africana Mbuyuni Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment