Pages

September 10, 2011

Msiba mkubwa Zanzibar

Mv Spice. Photo by AFP
Waziri wa Mambo ya Ndani Nahodha akiangalia uokoaji.
Waokoaji wakiwa na baadhi ya miili iliyoopolewa, mpaka muda wa mchana miili 50 ilikuwa imeopolewa.
Wakazi wa Mji wa Zanzibar wakifuatilia uokoaji. Picha kwa hisani ya Vituko Zenji blog



Meli ya Mv Spice iliyokuwa ikitokea Pemba kuelekea Unguja imezama usiku wa leo maeneo ya Nungwi ikiwa na abiria wanaokadiriwa kufikia zaidi 1000, wengi wao wanaofiwa kufa maji. 


Kwa mujibu wa vyombo mbalimbali vya habari, vinasema meli ilikuwa imepakia mizigo na nabiria kuliko uwezo wake. 


Poleni sana ndugu zetu wa Zanzibar, Mwenyezi Mungu awape moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu cha majonzi, zaidi tuzidi kumuomba yeye ili manusura wengi wapatikane. Ameeni

1 comment: