Msafara wa mgombea ubunge Igunga UPDP Hemed. |
Vimbwanga
vya mgomea Ubunge wa UPDP kama ilivyolipitiwa na TBC na kupewa muda wa kutosha
tu,
Kwanza
kabisa Tangazo “Vinywaji vyooote vinapatikana palee na chips na kila kitu, hapa
ni "breki ya nyau”
“ Samaki
hana rivasi”
Kauli za
Mgombea,
...Vijana
mna very problem, mnaota jua mchana kutwa kama solar power! >>>why hakuna
ajira, >>> nichagueni mimi, nitafungua lanchi ya mifugo mtalipwa dola, >>> hakuna mwanafunzi kwenda shule na jembe, >>> nitauza VX langu na
kununua power tillers, >>; hii ni elimu kwanza na sio kilimo
kwanza, >>> nitanunua matrekta na
nyie vijana ndio mtakuwa madereva, naombeni kura zenu”
Bahati mbaya sikulipata jina sawasawa, lakini ilikuwa full bururani kama komedi vile kumwanaglia mgombea huyu, cjui kwanini TBC walimpa muda mwingi kiasi kile,
Picha na Lukansola JF
Picha na Lukansola JF
dah hii ni kali inaelekea huyu mgombea alikua amekunywa gongo
ReplyDelete