Kampeni za kumpata mrithi wa Rostam Aziz Igunga aliyejiuzuru kwa kile alichokiita "SIASA UCHWARA NDANI YA CCM" zinaelekea kuanza rasmi, Vyama vya CCM, CHADEMA na CUF ndivyo vinaelekea kuwa na mchuano mkubwa. Uchaguzi unatarajiwa kufanyika Oktoba 2.
Je CCM kutetea kiti chake?
Muda utatuambia!
No comments:
Post a Comment