Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Moh'd Shein akimuapisha Khamis Haji Khamis kuwa Kadhi Mkuu mpya wa Zanzibar
katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar.Picha zote na Hamadi
Hija-Maelezo Zanzibar
Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Moh'd Shein akimuapisha Balozi
Hussein Said Khatib kuwa Mjumbe wa Kamisheni ya Utalii wa Umma Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Moh'd Shein akimuapisha Khalifa
Hassan Chum kuwa Kamishna wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment