Pages

August 18, 2011

Washiriki Miss Tanzania watembelea Vivutio vya utalii




Washiriki wa Vodacom Miss Tanzania 2011 wakiwa katika ziara ndefu ya kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii nchini, baada ya kutoka Morogoro hivi sasa wako mkoani Arusha, hapa wako katika mbuga ya wanyama ya Tarangire. 








Picha na Father Kidevu Blog!

No comments:

Post a Comment